Vitabu vya ETE

Elimu ya Theologia kwa Enezi ni mafundisho kwa Walei yaliyo sawa na kiwango cha Elimu ya Chuo cha Biblia. Mafunzo haya ya ETE hutolewa na madhehebu mbalimbali, hususani sehemu za vijijini ambako wanafunzi wanaweza kujiunga pamoja katika vikundi vya kujisomea. Baada ya kuanza masomo, wanafunzi hujisomea peke yao. Waalimu huwatembelea mara kwa mara kwa lengo la kuwafundisha, kuwapa majaribio na mitihani.

Faida ya kusoma kwa njia hii ni kwamba, wanafunzi hawalazimiki kuacha familia zao ili kwenda mbali kusoma katika Vyuo vya Biblia. Huwawezesha pia kuendelea na kazi zao pamoja na kutunza familia zao huku wakijielimisha vya kutosha kufanya kazi kama Wainjilisti.

Soma Biblia, wanavyo vitabu mbalimbali vilivyoratibishwa kwa Mafundisho ya ETE na mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya Kikristo. Orodha imetolewa hapa chini na unaweza kuagiza kila kitabu kutoka Soma Biblia. (Angalia maelekezo ya kuagiza na malipo yake).

imani-ya-kiiinjili-hp Imani ya Kiinjili – katika Mazingira ya Kiafrika, kimeandikwa na Klas Lundström

Kitabu hiki kimetayarishwa kwa ajili ya matumizi ya ETE (Elimu ya Theolojia kwa Enezi) katika bara ya Afrika. Toleo hili la pili limesahisishwa. Kitabu hiki kinaweza kutumiwa pia na vikundi vya kujisomea Biblia au mtu ye yote ambaye anapenda kufahamu zaidi juu ya imani ya Kikristo.

Easy English Titles
Following Jesus
Talking with God
Bringing People to Jesus
New testament Survey 1, 2, 3
The Shepherd and his work
Looking at the Old Testament 1, 2, 3, 4
Life of Christ 1, 2

Moderately Easy Titles
Acts of the Apostles 1, 2
First Corinthians
Seven letters to all Churches
Christian Family Living
Genesis 1, 2
Helping the Church to Grow
Teachings in John
Preaching from the Old Testament
Honouring and Worshipping God
Caring for God’s Things
Taking the Good News to Muslims

Moderately Difficult Titles
Ephesians and Philippians
Powerful Bible Teaching
Study the Book of Mark for Yourself
Isaiah
The letter of Hebrews
Romans
Lessons from the Past for the Church
Revelation
Helping People to Good Health
Starting and Strengthening New Churches
Letters to Church Leaders in Hard Places