Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

           

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

20160505_154453.jpg

MASOMO YA BIBLIA KWA NJIA YA POSTA

Biblia ndio msingi mkubwa katika Imani ya Kikristo. Soma Biblia inatoa mafunzo kwa njia ya posta, Barua au Barua pepe. Mafunzo ni Bure, lakini mwanafunzi anahitajika kununua vitabu vyake mwenyewe. Vitabu vinaweza kununuliwa kutoka kwa wasambazaji wetu nchi nzima, kutoka kwenye magri yetu, au kuagiza na kutumiwa mzigo wako.

Baada ya kujiunga na mafunzo, mwanafunzi atapokea maswali kwaajili ya nngwe ya kwanza ya masomo. Mwanafunzi atatuma majibu yake kwenye Ofisi zetu za Arusha au kwa Barua pepe kwenda kwa mwalimu wa mafunzo ya Biblia kwa njia ya posta. Majibu yatasahihishwa na kurudishwa kwa mwanafunzi pamoja na maswali mengine kwaajili ya nngwe nyingine ya masomo. Hii inaendelea mpaka mwanafunzi atakapomaliza mafunzo.

Kujiunga, tafadhali tuma Barua pepe kwenda: njiayaposta.somabiblia@gmail.com

Au jaza fomu ya kujiunga hapo chini:

Jina *
Jina

Vitabu vifuatavyo vinatumika kwenye mafunzo:

 1. Dini na Maisha

 2. Imani Yangu

 3. Maombi

 4. Ubatizo wa Kikristo

 5. Roho Mtakatifu

 6. Onjeni Bwana alivyo Mwema

 7. Historia ya Kibiblia

 8. Biblia ijieleze yenyewe

 9. Wokovu – maana na matokeo

 10. Al-Kitab

 11. Israeli kwa Mtazamo wa Kikristo