UNATAMANI KUANDIKA?
Je unashauku ya kuandika au kusambaza ujumbe wa Injili? Labda unapenda kuchimba mambo ya kusisimua kutoka kwenye Biblia na kuyaeleza kwa watoto? Au labda wewe ni mtaalamu wa lugha ya Kiswahili, na kila siku umekuta makosa kwenye vitabu unavyosoma?
Bado tunatafuta miswaada mizuri, waandishi wa magazeti yetu na wasahihishaji wa lugha.
Tafadhali tutumie wasifu wako, au badhi ya kazi ulizoandika, na kama wewe ndiye tunayemhitaji , tutawasiliana.
Anuani ya posta:
SOMA BIBLIA
Idara ya uchapishaji
P.o. Box 2696
Arusha, Tanzania
Barua pepe: editor.somabiblia@gmail.com