Wokovu - Maana na Matokeo
Kitabu kinasaidia kujua wokovu ni nini, kuchagua njia ya kweli, na kuishi inavyotarajiwa baada ya kuokoka. Ushuhuda wa mwandishi upo pia.
Uamsho ni nini?
Ndiyo, kuna uamsho wa Kibiblia unaoletwa na Mungu! Ni ujumbe wa kitabu hiki kinachofafanua maana yake ili tusijidanganye katika suala nyeti.
Njia ya Wokovu
Njia ni nyingi, moja tu ni ya wokovu. Je, umeiona na kuienda? Kitabu hiki kinabainisha jinsi Yesu alivyo njia hiyo. Hufaa kwa ‘Bible study’.