Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Twende Toleo la 4/2023 'linapatikana'

Habari kutoka Soma Biblia

Twende Toleo la 4/2023 'linapatikana'

Cathbert Msemo

Sisi ni zawadi ya Mungu

Zipo zawadi za aina nyingi tunazoweza kupokea kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki. Zawadi hizi hutufurahisha sana, sivyo? Vipi sasa na zawadi tunazopokea kutoka kwa Mungu? Tunazitambua na kuzitumia vizuri?

Zawadi kubwa kuliko zote ni Yesu: "Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele" (Yohana 3:16). Wow! Kwa sababu ya upendo mkuu Mungu alimtoa Yesu kama zawadi ya ukombozi kwa wanadamu wote.

Unajua kwamba hata sisi tunaweza kuwa zawadi ya Mungu kwa watu wengine? Mungu alivyotuumba kwa vipawa mbalimbali inatuwezesha kumtukuza Mungu na kueneza habari njema za wokovu kwa wengine. Hii ni zawadi kubwa, aisee!

Nikukaribishe kusoma toleo hili. Linatufundisha kuwa sisi ni zawadi ya Mungu. Makala zote zinafafanua vizuri jambo hilo. Je, unamkumbuka mtoto aliyekuwa na kikapu chenye samaki wawili na mikate mitano? Soma uk.14 uone mtoto huyu alifanya nini akawa baraka ya Mungu kwa maelfu ya watu. Usisahau michezo na katuni kuhusu Dada Rehema na wadogo zake.

Karibu jipatie nakala yako kwa Tsh. 500 tu.