Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Twende 03/2023 - Linapatikana

Habari kutoka Soma Biblia

Twende 03/2023 - Linapatikana

Cathbert Msemo

Jifunze kusema HAPANA

Pengine umewahi kusema ndiyo wakati moyoni ulisema hapana. Ulificha ukweli ili kumfurahisha yule aliyesema nawe, na jibu la ndiyo hupendeza, sivyo! Lakini kusema uongo ni dhambi. Kwa hiyo neno la Mungu linasema, “Ndiyo yenu na iwe ndiyo, na siyo yenu iwe siyo, msije mkaangukia hukumu” (Yakobo 5:12).

Nikukaribishe kusoma toleo hili. Linatufundisha kusema hapana kwa yale yasiyo mapenzi ya Mungu. Makala zote zitatutia moyo na kutujengea ujasiri wa kusema hapana. Mfano mzuri ni Danieli na rafiki zake walivyomwambia Mfalme (tazama uk.15). Kwa vijana kuna makala muhimu sana juu ya kutunza miili yetu. Na usisahau michezo na katuni kuhusu Dada Rehema na wadogo zake.