Riziki ni Gazeti la Kikristo kwa Wachungaji na Watumishi wa Kanisa

Hutolewa mara nne kwa mwaka. Gazeti hili limewalenga Wainjilisti na Wachungaji ili wajipatie njia nzuri kwa wote wanaotafuta mafundisho mazuri katika maisha yao ndani ya Kristo.

Lengo kuu la RIZIKI ni kuhamasisha na kufundisha wote wanaopeleka neno kwa watu, na kufikisha neno kwa usahihi wote ili kuwajenga watu.

Kujiunga na RIZIKI, tafadhali jaza fomu hapo chini, au wasiliana nasi kupitia simu au barua, na tutakufikia popote ulipo.

Wasiliana Nasi
RIZIKI SOMA BIBLIA
S.L.P. 2696 Arusha, Tanzania

Jiunge na Riziki

Jaza taarifa zako hapa chini na tutawasiliana nawe.

Unaweza kuandika maelezo yoyote ya ziada unayotaka kutufikishia.

Kwa kutuma fomu hii, taarifa zako zitatumwa moja kwa moja kwa timu ya Soma Biblia kwa ajili ya kukuhudumia.

RIZIKI 03, 2026

RIZIKI 03, 2026

Toleo hili linaanza mfululizo wa matoleo matatu yanayotafakari Warumi 14:17.

Matoleo Mengine

Matoleo ya Riziki Katika Picha