Soma Biblia Makambako

Tupo tayari kukuhudumia na kukusaidia kupata Biblia, Vitabu vya Kikristo, Biblia za Watoto na Vifaa vya Kanisa. Tutakushauri ili upate kifaa na kitabu kinachokufaa.

Wasiliana nasi

Karibu Makambako

Ofisi yetu Barabara ya kuelekea Njombe Karibu na Bank ya NBC au Stand Mpya ya Mabasi
Anuani ya Posta P.O Box 219 Makambako, Tanzania
Simu +255 761 370 846
Barua pepe makambako.somabiblia@gmail.com
Barua pepe manager.somabiblia@gmail.com

Siku na muda wa kazi

Ofisi zipo wazi

Jumatatu – Ijumaa Siku za kazi
2:00 asubuhi
11:00 jioni
Jumamosi Siku ya kazi
2:00 asubuhi
8:30 mchana
Karibu Soma Biblia

Watumishi wetu watafurahi sana kukuhudumia. Tutembelee siku na muda wa kazi kama inavyoonekana hapo juu.

Soma Biblia Sales Trips
Soma Biblia Makamabako

Sales Trips

Safari za mauzo za Soma Biblia hufikisha Biblia, Vitabu, Machapisho mbalimbali na vifaa vya madhabahuni karibu na wakristo katika maeneo tofauti. Soma Biblia Makambako tunahudumia maeneo mengi kama mnavyoona hapo chini.

Ukiona gari la Soma Biblia, sogea karibu tutakuhudumia

Dereva Mauzo

Soma Biblia Makambako

0756 915763 Piga simu 0746 270359 Piga simu

Njombe

  • Wanging'ombe
  • Ilembula
  • Kidugala
  • Igwachanya
  • Ikonda
  • Makete
  • Bulongwa
  • Ludewa
  • Lupembe
  • Njombe Mjini

Ruvuma

  • Madaba
  • Songea
  • Peramiho
  • Mbinga
  • Nyasa
  • Namtumbo
  • Tunduru