Soma Biblia Iringa

Tupo tayari kukuhudumia na kukusaidia kupata Biblia, Vitabu vya Kikristo, Biblia za Watoto na Vifaa vya Kanisa. Tutakushauri ili upate kifaa na kitabu kinachokufaa.

Wasiliana nasi

Karibu Iringa

Ofisi yetu Eneo la Danish Lutheran Mission (DLM) - Mkwawa
Anuani ya Posta P.O Box 1088, Iringa, Tanzania
Simu +255 765 910 495
Barua pepe Iringa.somabiblia@gmail.com
Barua pepe manager.somabiblia@gmail.com

Siku na muda wa kazi

Ofisi zipo wazi

Jumatatu – Ijumaa Siku za kazi
2:00 asubuhi
11:00 jioni
Jumamosi Siku ya kazi
2:00 asubuhi
8:30 mchana
Karibu Soma Biblia

Watumishi wetu watafurahi sana kukuhudumia. Tutembelee siku na muda wa kazi kama inavyoonekana hapo juu.