Soma Biblia Mbeya
Tupo tayari kukuhudumia na kukusaidia kupata Biblia, Vitabu vya Kikristo, Biblia za Watoto na Vifaa vya Kanisa. Tutakushauri ili upate kifaa na kitabu kinachokufaa.
Wasiliana nasi
Karibu Mbeya
Ofisi yetu
Eneo la Kabwe, Karibu na Full Gospel Church kwenda Block “T”.
Anuani ya Posta
P.O. Box 1062 Mbeya, Tanzania
Simu
+255 768 444 990
›
Barua pepe
mbeya.somabiblia@gmail.com
›
Barua pepe
manager.somabiblia@gmail.com
›
Siku na muda wa kazi
Ofisi zipo wazi
Jumatatu – Ijumaa
Siku za kazi
2:00
asubuhi
–
11:00
jioni
Jumamosi
Siku ya kazi
2:00
asubuhi
–
8:30
mchana
Karibu Soma Biblia
Watumishi wetu watafurahi sana kukuhudumia. Tutembelee siku na muda wa kazi kama inavyoonekana hapo juu.
Soma Biblia Mbeya
Sales Trips
Safari za mauzo za Soma Biblia hufikisha Biblia, Vitabu, Machapisho mbalimbali na vifaa vya madhabahuni karibu na wakristo katika maeneo tofauti. Soma Biblia Mbeya tunahudumia maeneo mengi kama mnavyoona hapo chini.
Ukiona gari la Soma Biblia, sogea karibu tutakuhudumia
Safari za Mauzo
Mikoa na Maeneo Tunayotembelea
Mbeya to Mbalali
- Igurusi
- Chimala
- Matamba
- Kapunga
- Igawa
- Rujewa
- Ubaruku
- Madibila
Mbeya to Kyela
- Tukuyu
- Kiwira
- Busokelo
- Matema
- Kyela City
- Kyela Boda
Mbeya to Chunya
- Chunya City
- Sangambi
- Mapogoro
- Itumbi
- Matundasi
- Makongolosi
- Lupatinga
- Isangawana
- Saza
- Mkwajuni
- Utengule
- Mbalizi
Mbeya to Katavi
- Songwe: Mlowo
- Vwawa
- Mpemba
- Tunduma
- Rukwa: Sumbawanga
- Matai
- Kasanga
- Namanyere
- Laela
- Katavi: Majimoto
- Kakese
- Mpimbwe
- Usevya
- Inyonga
- Mpanda Jiji
- Ipole
Mbeya to Kamsamba
- Kamsamba
- Muze
- Kyelamatundu
- Umalila
- Isongole
- Itumba
- Isuto
- Mpemba