Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Kuagiza na malipo

Kuagiza Ukitaka kuagiza mizigo midogo unaweza kujaza fomu iliyopo kulia. Au kuagiza kwa njia ya simu: 0754 292 995

Kuagiza mzigo mkubwa, tafadhali agiza kwa njia ya simu: 0754 292 995

Au wasiliana na maduka ya vitabu (Arusha, Dar es Salaam, Iringa, Mbeya, Mwanza) au duka la kuhama hama lililopo karibu nawe, wataweza kukufikia na kukupa mzigo wako.

Malipo Unaweza kuchagua njia tatu tofauti za malipo:

  1. Kama kiasi chako cha malipo ni chini ya 20 000 TSH, unaweza kulipa kwa mPesa (Vodacom au Airtel). Utakapo agiza, tutakutumia uthibitisho na kiasi cha malipo. Na malipo yakipokelewa , tunakutumia mzigo wako.

  2. Unaweza pia kulipa kwa kuhamisha pesa kwenye akaunti zetu za benki. Maelezo kuhusu akaunti zetu za benki utapewa utakapo amua kuagiza.

  3. Kama utaamua kuchukua mzigo wako katika moja ya maduka yetu ya vitabu au magari yetu, unaweza kulipa mkononi papo hapo.

Kumbuka Usafiri na gharama za posta zipo ndani ya malipo yako.

Jina *
Jina
Andika jina la kitabu au vitabu unavyoagiza, code ya kitabu, bei na idadi unayotaka kuagiza.
Unataka kulipa kwa njia gani?