Soma Biblia Mikocheni B
Tupo tayari kukuhudumia na kukusaidia kupata Biblia, Vitabu vya Kikristo, Biblia za Watoto na Vifaa vya Kanisa. Tutakushauri ili upate kifaa na kitabu kinachokufaa.
Wasiliana nasi
Karibu Mikocheni B
Siku na muda wa kazi
Ofisi zipo wazi
Watumishi wetu watafurahi sana kukuhudumia. Tutembelee siku na muda wa kazi kama inavyoonekana hapo juu.
Sales Trips
Safari za mauzo za Soma Biblia hufikisha Biblia, Vitabu, Machapisho mbalimbali na vifaa vya madhabahuni karibu na wakristo katika maeneo tofauti. Soma Biblia Dar es Salaam tunahudumia maeneo mengi kama mnavyoona hapo chini.
Safari za Mauzo
Mikoa na Maeneo Tunayotembelea
Lindi
- Kilwa
- Lindi
- Nangurukuru
- Mnazi Mmoja
- Ndanda
- Nachingwea
- Luwangwa
Mtwara
- Masasi
- Newala
- Tandahimba
- Mangaka
Morogoro
- Mikese
- Dumila
- Kilosa
- Turiani
Pwani
- Mlandizi
- Chalinze
- Bagamoyo
- Msata
Tanga
- Mkata
- Handeni
- Korogwe
- Mombo
- Soni
- Lushoto
- Muheza
- Tanga
- Pangani
Wafanyakazi wa Soma Biblia
Makao Makuu
Hilda Marco
Senior AccountantJames Sabuni Kadama
Project CoordinatorJulius John Mashauri
Soma Biblia Stores ManagerWilson Mkunda Lechipya
Head of Distribution and Sales DriverTawi la Mikocheni B
Happiness Giliard Massawe
Bookshop SupervisorGoreti Christopher Kakuru
Bookshop SalesladyRuben Daniel Ngenzy
Bookshop Security Guard and Shop AttendantLilian Fredrick Malisa
Office AttendantOmbeni G. Massawe
Sales Driver...
...Tembelea Duka Letu
Karibu Soma Biblia Mikocheni B, Dar es Salaam. Bonyeza kitufe hapo chini kupata maelekezo ya moja kwa moja kupitia Google Maps.
Fungua Google Maps