Soma Biblia Arusha
Tupo tayari kukuhudumia na kukusaidia kupata Biblia, Vitabu vya Kikristo, Biblia za Watoto na Vifaa vya Kanisa. Tutakushauri ili upate kifaa na kitabu kinachokufaa.
Wasiliana nasi
Karibu Arusha
Siku na muda wa kazi
Ofisi zipo wazi
Watumishi wetu watafurahi sana kukuhudumia. Tutembelee siku na muda wa kazi kama inavyoonekana hapo juu.
Sales Trips
Safari za mauzo za Soma Biblia hufikisha Biblia, Vitabu, Machapisho mbalimbali na vifaa vya madhabahuni karibu na wakristo katika maeneo tofauti. Soma Biblia Arusha tunahudumia maeneo mengi kama mnavyoona hapo chini.
Safari za Mauzo
Mikoa na Maeneo Tunayotembelea
Arusha
- Arumeru
- Karatu
- Longido
- Meru
- Monduli
- Ngorongoro
Singida
- Ikungi
- Iramba
- Mkalama
Manyara
- Babati
- Hanang
- Mbulu
- Simanjiro
Kilimanjaro
- Hai
- Moshi
- Mwanga
- Rombo
- Same
- Siha
Tembelea Duka Letu
Karibu Soma Biblia Mikocheni B, Dar es Salaam. Bonyeza kitufe hapo chini kupata maelekezo ya moja kwa moja kupitia Google Maps.
Fungua Google Maps