Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

TWENDE  cover color .jpg

TWENDE

TWENDE is a Christian magazine for children and youth. Through this magazine we want to afflict children and youth gospel of eternal life in Jesus Christ. It has cartoons, stories, games, devotions and Biblestories.

TWENDE comes out four times a year.

Price: 500 Tsh pr copy

Fore more information, contact us: 

TWENDE P.o. Box 2696, Arusha, Tanzania

Phone: +255 752379 932

E-mail: layout.somabiblia@gmail.com

TWENDE ni gazeti la Kikristo kwa Watoto na Vijana. Kupitia gazeti hili, tunataka kufundisha Watoto na vijana Injili ya uzima wa milele ndani ya Yesu Kristo. 

TWENDE inatolewa mara nne kwa mwaka. 

Bei: 500 Tsh kwa nakala moja

Wasiliana nasi: 

TWENDE P.O.Box 2696, Arusha, Tanzania

Namba ya simu: +255 752 379 932

Barua pepe: layout.somabiblia@gmail.com

TWENDE 3 2018 cover.jpg

Twende toleo no. 3, 2018Kwetu sisi Wakristo uvumilivu ni hali ya kuendelea kumpenda na kumcha Mungu wakati wote, hasa pale tunapokuwa kwenye hali ya shida na mahangaiko. Soma toleo hili ujifunze zaidi.

TWENDE 2 2018 cover final 1.jpg

Twende toleo no. 2, 2018Soma makala na vibonzo katika toleo hili ujifunze zaidi juu ya ushindi katika Kristo Yesu.

TWENDE 1 2018 cover 1.jpg

Twende toleo no. 1, 2018Katika toleo hili tunafafanua zaidi jinsi mtu anavyotoka katika utumwa na kuwa huru kweli pale anapomkaribisha Yesu aingie maishani mwake ili kuwa mwokozi na bwana wake.

TWENDE 4 2017 cover  final-1.jpg

Twende toleo no.4, 2017Kumsifu Mungu ni kwa kumuinua juu, kumshukuru, kumpazia sauti, kumfanyia shangwe na kujishusha chini yake kwa unyeyekevu. Soma toleo hili ujifunze zaidi maana ya sifa.

TWENDE 3 2017 cover.jpg

Twende toleo no. 3, 2017


Neema ni zawadi, tena zawadi kutoka kwa Mungu.Toleo hili lina mambo mzuri yanayofafanua zaidi juu ya neema.

TWENDE 2 2017 cover final.jpg

Twende toleo no. 2, 2017

Maombi ni kuongea na Mungu ili kumkaribisha Yesu ndani yetu. Toleo hili limefafanua zaidi maana ya maombi.

TWENDE 1 2017 cover .jpg

Twende toleo no. 1, 2017

Toleo hili linafafanua kwa namna rahisi ili wote waelewe maana ya Yesu kuwa Mwanadamu kweli na Mungu kweli.

TWENDE 4 2016 cover  .jpg

Twende toleo no. 4, 2016Yesu ni mfalme! Na yeye pia anataka kuongeza ufalme wake. Lakini njia yake ni tofauti kabisa na hizo za wafalme wa duniani. Karibu ujifunze juu ya Mfalme wa ajabu.