SOMA BIBLIA
Saidia Kazi ya Kueneza Injili
Mchango wako unasaidia Soma Biblia kuendelea kufikisha Neno la Mungu, vitabu na rasilimali za Kikristo kwa watu mbalimbali.
UNATAKA KUULIZA KABLA YA KUTUMA MCHANGO?
Wasiliana na Finance Manager
Kwa maelezo zaidi kuhusu mchango, malipo au uthibitisho wa muamala, wasiliana nasi kwanza.
NJIA YA 01
Tuma Mchango kwa Benki
Unaweza kutuma mchango moja kwa moja kwenye akaunti rasmi ya Soma Biblia Donors kupitia benki ya CRDB.
ACCOUNT NAME
SOMA BIBLIA DONORS
ACCOUNT NUMBER
0250014606500
BANK
CRDB BANK PLC
BRANCH
KIJITONYAMA BRANCH
BRANCH CODE
033385
SWIFT CODE
CORUTZTZ
Baada ya kutuma mchango, unaweza kuwasiliana na
Finance Manager kwa uthibitisho wa muamala.
NJIA YA 02
Tuma kwa Simu
Chagua huduma yako ya Mobile Money hapa chini. Namba hii inatumika kwa M-Pesa, Airtel Money, Yas na Halotel.
NAMBA YA MCHANGO
0754 292 995
Jinsi ya kutuma:
Chagua huduma yako ya Mobile Money — M-Pesa,
Airtel Money, Yas au Halotel — tumia namba
0754 292 995, kisha hakikisha jina la
mpokeaji kabla ya kuthibitisha muamala.
NJIA YA 03
Visa / MasterCard
Kwa mchango wa kutumia Visa au MasterCard, unaweza kuelekezwa kwenye mfumo wa New Horizons Foundation.
VISA
mastercard
Namba imenakiliwa ✓