Soma Biblia Dodoma
Tupo tayari kukuhudumia na kukusaidia kupata Biblia, Vitabu vya Kikristo, Biblia za Watoto na Vifaa vya Kanisa. Tutakushauri ili upate kifaa na kitabu kinachokufaa.
Wasiliana nasi
Karibu Dodoma
Ofisi yetu
Block K Uhindini Street Dodoma karibu na UBA Bank na Amana Bank
Anuani ya Posta
P.O. Box 4231 Dodoma, Tanzania
Simu
+255 743 661 166
›
Barua pepe
dodoma.somabiblia@gmail.com
›
Barua pepe
manager.somabiblia@gmail.com
›
Siku na muda wa kazi
Ofisi zipo wazi
Jumatatu – Ijumaa
Siku za kazi
2:00
asubuhi
–
11:00
jioni
Jumamosi
Siku ya kazi
2:00
asubuhi
–
8:30
mchana
Karibu Soma Biblia
Watumishi wetu watafurahi sana kukuhudumia. Tutembelee siku na muda wa kazi kama inavyoonekana hapo juu.
Soma Biblia Dodoma
Sales Trips
Safari za mauzo za Soma Biblia hufikisha Biblia, Vitabu, Machapisho mbalimbali na vifaa vya madhabahuni karibu na wakristo katika maeneo tofauti. Soma Biblia Dodoma tunahudumia maeneo mengi kama mnavyoona hapo chini.
Ukiona gari la Soma Biblia, sogea karibu tutakuhudumia
Dodoma
- Bahi
- Kondoa
- Mrijo
- Kiteto
- Matui
- Kibaigwa
- Kongwa
- Mpwapwa
Iringa
- Mafinga
Morogoro
- Gairo
- Mlimba
- Mbingu
- Ifakara
- Mahenge
- Malinyi
- Kilombero
- Mikumi
Safari za mauzo