Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Kalenda/Calenders

KALENDA MKONONI 2019/DAILY DEVOTIONAL 2019

Editor Soma Biblia

Calender for reading the Bible every day:

 • Space to write notes.

 • Biblereading plan for everyday with a daily devotion to go with the reading.

 • The pocket-sized booklet makes it easy to carry along wherever you may go; work, school or travel.

Price: 2500 Tsh

The Soma Biblia Kalenda 2019 is available in all Soma Biblia Bookshops:

Dar es SalaamArushaMbeyaIringa and Mwanza.

Kalenda hii inakupa:

 • Nafasi ya kuandika kumbukumbu zako kila siku.

 • Mpango wa kusoma sehemu ya Biblia kila siku pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

 • Uwezekano wa kuibeba popote; kazini, shambani, shuleni na hata ukisafiri.

Bei: 2500 Tsh tu

Soma Biblia Kalenda 2019 inapatikana katika kila tawi la Soma Biblia:

Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa na Mwanza.

20190107_133535.jpg

KALENDA YA UKUTANI 2019/WALL CALENDAR 2019

Editor Soma Biblia

Kalenda ya ukutani 2019 inapatikana. Ina picha nzuri kutoka huduma za Soma Biblia, na zote zinalandana na mstari kutoka kwenye Biblia

Bei: 2500 Tsh tu

Soma Biblia Kalenda 2018 inapatikana katika kila tawi la Soma Biblia: Dar es SalaamArushaMbeyaIringa na Mwanza


20190107_133703.jpg

The Soma Biblia Wall calendar is now available. It has beautiful pictures from Soma Biblia's work all over Tanzania, and encouraging Bible verses to follow. 

Price: 2500 Tsh

The calendar can be bought in all our bookshops: Dar es SalaamArushaMbeyaIringa na Mwanza


Kalenda ya Ukutani 2016/Wall calender 2016

Anne Gihlemoen

Kalenda ya mwaka ya ukutani kutoka Soma Biblia. Mwaka huu ikiwa imepambwa na michoro ya rangi inayoeleza maisha ya kila siku ya kitanzania, imechorwa na wachoraji wa Tanzania Pascal Clemens na Paulo John Mwakoro.

Bei/Price: 1000 Tshs

The annual Soma Biblia wall calender. This year decorated with the colorful paintings of Tanzanian everyday life, by Tanzanian artists Pascal Clemens and Paulo John Mwakoro.

Soma Biblia Kalenda 2016

Anne Gihlemoen

Kalenda ya mwaka ikiwa na maelezo mafupi, mahubiri ya kila siku yaliyounganishwa na vifungu vya Biblia.

Soma Biblia Kalenda inatoka kila mwaka tangu 2000.

Kalenda inajumuisha

 • Kalenda ya 2016 na 2017 katika ukurasa wa mbele wa jalada
 • Mapitio wakati wa mapumziko hapa Tanzania 2015
 • Kurasa 12 kwa kila mwezi kwaajili ya wewe kunakili
 • kusoma kufuatana na sikukuu za Kikristo

Code: 14413 

Bei/Price: 2000 Tsh

A yearly calendar with a brief, daily devotion connected to a passage from the Bible.

The Soma Biblia Kalenda has come out every years since 2000.
The calender contains

 • a calender for 2016 and 2017 on the inside cover
 • Survey for holidays in Tanzania 2015
 • 12 pages of each one month for your notes
 • Readings according to the Christian Holidays

Code: 14413

Bei/Price: 2000 Tsh

Soma Biblia Kalenda 2016.jpg