“Niliona moja ya kipeperushi chenu kiwa chini maeneo ya stendi ya mabasi. Kmebadilisha maisha yangu”.

Mtu mmoja alisema

Je ungependa kusaidia kusambaza Injili, lakini hujui uanzie wapi?

Vipi kuhusu kusambaza trakti zetu?

Trakti ni vipeperushi vidogo, vinavyotolewa bure kwa wapokeaji, vikiwa na ujumbe rahisi na unaoeleweka kuhusu Yesu Kristo. Vinauwezo wa kukaa kwenye gari lako kwamba utakapokutana na mtu unaweza kumpatia, Ombaomba, wauza magazeti, wamama sokoni. Au kama una biashara, unaweza kuweka trakti dirishani kwa watu kuchukua. Kama wewe ni daktari au dactari wa meno, unaweza kuziweka kwenye chumba cha kusubiria. 

Kama unapenda mtindo huu wa kusambaza Injili, unaweza kununua kwa mfuko au boksi nzima kutoka kwenye maduka yetu ya vitabu yaliyokaribu na eneo lako. Bonyeza link HAPA kupata Bei ya Vipeperushi

Maduka ya vitabu yanapatikana Mikocheni BMbezi LuizDodomaMwanzaArushaIringa, Makambako na Mbeya.

DOWNLOAD MWONGOZO WA KUSOMA BIBLIA

Download na print moja kwa moja kipeperushi ambacho ni msaada kwa kusoma Biblia. Bonyesa HAPA.

mwongozo picha.jpeg

Baadhi ya vipeperushi vyetu.