Soma Biblia Mwanza
Tupo tayari kukuhudumia na kukusaidia kupata Biblia, Vitabu vya Kikristo, Biblia za Watoto na Vifaa vya Kanisa. Tutakushauri ili upate kifaa na kitabu kinachokufaa.
Wasiliana nasi
Karibu Mwanza
Ofisi yetu
Barabara ya Makongoro katikati ya mjini na uwanja wa ndege, katika “Kiliniki ya Zamani”.
Anuani ya Posta
P.O. Box 11528 Mwanza, Tanzania
Simu
+255 755 355 445
›
Barua pepe
mwanza.somabiblia@gmail.com
›
Barua pepe
manager.somabiblia@gmail.com
›
Siku na muda wa kazi
Ofisi zipo wazi
Jumatatu – Ijumaa
Siku za kazi
2:00
asubuhi
–
11:00
jioni
Jumamosi
Siku ya kazi
2:00
asubuhi
–
8:30
mchana
Karibu Soma Biblia
Watumishi wetu watafurahi sana kukuhudumia. Tutembelee siku na muda wa kazi kama inavyoonekana hapo juu.
Soma Biblia Mwanza
Sales Trips
Safari za mauzo za Soma Biblia hufikisha Biblia, Vitabu, Machapisho mbalimbali na vifaa vya madhabahuni karibu na wakristo katika maeneo tofauti. Soma Biblia Mwanza tunahudumia maeneo mengi kama mnavyoona hapo chini.
Ukiona gari la Soma Biblia, sogea karibu tutakuhudumia
Mwanza
- Sengerema
Geita
- Geita
- Runzewe
Kagera
- Biharamulo
- Ngara
- Rusumo
- Karagwe
- Bukoba
- Muleba
- Nyakanazi
Mara
- Musoma
- Butiama
- Tarime
- Sirari
- Shirati
- Bondo
Shinyanga
- Shinyanga
- Kishapu
- Kahama
- Kakola
Simiyu
- Bariadi
- Lamadi
- Bukoli
- Nyarugusu
- Salawe
Tabora
- Nzega
- Tabora
- Urambo
Kigoma
- Kasulu
- Shirombo