Mwongozo mdogo wa Biblia
Anne Gihlemoen
Mwongozo huu mdogo wa Biblia, unakuwezesha kwa haraka kujua mada tofauti tofauti za Biblia na mahali zinapopatikana ndani ya Biblia.
Mwandishi/Author: Jorgen Sejergaard
Toleo la pili/Second edition: 2008
Kurasa/Pages: 60
Ukubwa/Size: 10.5 x 15 cm
Code: 14024
This Mini Guide to the Bible, enables you to see quickly different Bible topics and where they are found in the Bible.