Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

RIZIKI Toleo la pili

Habari kutoka Soma Biblia

RIZIKI Toleo la pili

Anne Gihlemoen

 

Katika toleo hili la Riziki tumekaza juu ya “Kuhesabiwa Haki”, mada hii ni muhimu kwa maisha ya Mkristo na hasa kwa ulimwengu wa sasa uliolemewa na dhambi. Imetupasa kujua kwamba, Mwenye dhambi anaposimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu, Yesu anasimama huko pamoja naye. Kwa hivyo Mungu anamsamehe mwenye hatia na dhambi zake zote na kutangaza kwamba yeye ni mtakatifu, safi na mwenye haki machoni pa Mungu kwa ajili ya Yesu.

Ndani ya gazeti hili utajifunza kwa urahisi msingi wa tangazo la haki na mafunzo haya yatakupa msukumo wa kupeleka habari hii njema kwa wengine.