Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

FIKIA MAISHA

Habari kutoka Soma Biblia

FIKIA MAISHA

Cathbert Msemo

Programu mpya ya vijana 

Mambo vipi! Vijana, angalieni hapa, tumepata kifaa. Soma Biblia pamoja na Biblica Kenya tumezindua programu mpya ya vijana ijulikanayo kama FIKIA MAISHA. Sasa mambo ni poa kabisa. 

FIKIA MAISHA ni kitabu cha Agano Jipya kilichoandaliwa kipekee kwa ajili ya vijana. Kina mijadala ya changamoto zinazowakabili vijana. Programu ina sehemu kuu nne ambazo ni AMINI, KUA, ISHI na BADILIKA. Kitabu kina maswali ya uchokozi ili kijana aweze kujadili na kudadisi. Mifano: Unataka kuishi? Unataka kupata nguvu? Unataka kuishi kikamilifu? Je wataka kubadili ulimwengu? Maswali haya yanafuatiwa na mada mbalimbali kwa ajili ya majadiliano na zote huongozwa na vifungu vya Biblia.

Kama wewe ni kijana na kutaka kujua zaidi kuhusu programu hii na jinsi vijana wanavyoweza kuanzisha vikundi vya majadiliano ya mada mbalimbali kwa kutumia mwongozo wa FIKIA MAISHA, basi wasiliana na

Sales Manager wa Soma Biblia,

Mathayo Massawe

kwa namba ya simu +255 686 313 721 au

email: manager.somabiblia@gmail.com