Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Twende toleo la 2/2020 linapatikana

Habari kutoka Soma Biblia

Twende toleo la 2/2020 linapatikana

Cathbert Msemo

‘Nimepata Mia kwa Mia’

Mara nyingi tunakutana na majaribu. Mengine yanatuletea matatizo makubwa au hata yanatukatisha tamaa. Umewahi kupita katika wakati mgumu namna hiyo? Uliweza kushinda? Ni vigumu kushinda kwa kutegemea nguvu zetu wenyewe, sivyo? Basi nikuambie, yupo mmoja mwenye nguvu ya kushinda kila jambo. Ukimtegemea anakupa kushinda mia kwa mia. Je, ni nani huyu?  Katika toleo hili utajifunza anavyotafuta kushinda. Kuna simulizi nzuri ya moja ya mifano yake inayothibitisha anataka kupata mia kwa mia. Utasoma pia habari za mmoja aliyepita katika changamoto kubwa, lakini hakukata tamaa wala kupotea, bali alisema, ‘Yote namtolea Yesu’, na Yesu alimsaidia kuwa mtumishi mzuri mwenye amani na kazi yake. 

Twende 2-2020 cover .jpg

Ninakukaribisha usome makala zote na ujifunze mambo mazuri ya kujenga imani yako. Nikuambie! Mwaka huu Rehema atatoa zawadi kwa watoto watakaojibu vizuri maswali katika uk.5 na 6. Tazama katika ukurasa wa nyuma wa gazeti jinsi unavyoweza kutuma majibu yako. Majibu yako yakiwa sahihi, una kura moja. Tarehe 31/3, 30/6, 30/9 na 31/12 Rehema atatoa kura 15, yaani, kila mara kuna washindi 15 watakaozawadiwa.