Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

SIKU KWA SIKU NA MUNGU

Habari kutoka Soma Biblia

SIKU KWA SIKU NA MUNGU

Cathbert Msemo

Tafakuri za Neno la Mungu

Bwana Yesu asifiwe!

Je, umeanza na kusoma Neno la Mungu leo?

Soma Biblia tuna mfululizo wa vitabu hivi: Tafakuri za Neno la Mungu 'Siku kwa Siku na Mungu'. Kila siku unapata nafasi ya kumtafakari Mungu kupitia somo la siku husika katika vitabu hivi kwa mwaka mzima.

Mfululizo una vitabu vinne. Kitabu cha kwanza ni Januari hadi Machi. Kitabu cha pili ni Aprili hadi Juni. Kitabu cha tatu ni Julai hadi Septemba. Tayari unaweza kupata kitabu cha kwanza mpaka cha tatu na hivi karibuni kitabu cha nne cha Octoba had desemba kitapatikana na kukamilisha mfululizo wote ndani ya mwaka.

Vitabu hivi vimetolewa kama zawadi, hivyo ni bei rahisi kupata nakala. Kwa kila kitabu ni Tsh. 2000 tu.

Karibu dukani Soma Biblia upate nakala. Tupo wazi kwa ajili ya kukuhudumia.