Soma Biblia Mikocheni B

Tupo tayari kukuhudumia na kukusaidia kupata Biblia, Vitabu vya Kikristo, Biblia za Watoto na Vifaa vya Kanisa. Tutakushauri ili upate kifaa na kitabu kinachokufaa.

Wasiliana nasi

Karibu Mikocheni B

Ofisi yetu Barabara ya Mwai Kibaki, Mikocheni B, upande wa kulia kwenda CNA.
Anuani ya Posta P.O. Box 12772 Dar es Salaam, Tanzania
Simu +255 754 292 995
Barua pepe dar.somabiblia@gmail.com
Barua pepe manager.somabiblia@gmail.com

Siku na muda wa kazi

Ofisi zipo wazi

Jumatatu – Ijumaa Siku za kazi
2:00 asubuhi
11:00 jioni
Jumamosi Siku ya kazi
2:00 asubuhi
8:30 mchana
Karibu Soma Biblia

Watumishi wetu watafurahi sana kukuhudumia. Tutembelee siku na muda wa kazi kama inavyoonekana hapo juu.

Soma Biblia Sales Trips
Soma Biblia Dar es Salaam

Sales Trips

Safari za mauzo za Soma Biblia hufikisha Biblia, Vitabu, Machapisho mbalimbali na vifaa vya madhabahuni karibu na wakristo katika maeneo tofauti. Soma Biblia Dar es Salaam tunahudumia maeneo mengi kama mnavyoona hapo chini.

Ukiona gari la Soma Biblia, sogea karibu tutakuhudumia

Dereva Mauzo

Soma Biblia Dar es Salaam

0755 469 559 Piga simu 0749 885 808 Piga simu

Safari za Mauzo

Mikoa na Maeneo Tunayotembelea

Lindi

  • Kilwa
  • Lindi
  • Nangurukuru
  • Mnazi Mmoja
  • Ndanda
  • Nachingwea
  • Luwangwa

Mtwara

  • Masasi
  • Newala
  • Tandahimba
  • Mangaka

Morogoro

  • Mikese
  • Dumila
  • Kilosa
  • Turiani

Pwani

  • Mlandizi
  • Chalinze
  • Bagamoyo
  • Msata

Tanga

  • Mkata
  • Handeni
  • Korogwe
  • Mombo
  • Soni
  • Lushoto
  • Muheza
  • Tanga
  • Pangani
📍 Soma Biblia

Tembelea Duka Letu

Karibu Soma Biblia Mikocheni B, Dar es Salaam. Bonyeza kitufe hapo chini kupata maelekezo ya moja kwa moja kupitia Google Maps.

Fungua Google Maps