Soma habari mpya kutoka Soma Biblia

Cathbert Msemo Cathbert Msemo

Ufalme wa Mungu unaonekana katika haki

Toleo hili linaanza mfululizo wa matoleo matatu yanayotafakari Warumi 14:17: “Kwa maana Ufalme wa Mungu si kula na kunywa, bali ni haki, amani na furaha katika Roho Mtakatifu.” Safari inaanza kwa kutazama haki kama msingi wa Ufalme wa Mungu, kabla ya kuendelea na amani na furaha katika Roho Mtakatifu

Read More
Cathbert Msemo Cathbert Msemo

Tusaidiane kusema ukweli

Katika toleo hili la Twende, utajifunza kwa nini ni muhimu kusema kweli wakati wote. Utasoma kwa mfano, Simulizi la Anania na Safira, Hadithi ya mchungaji aliyepoteza imani ya watu kwa sababu ya uongo, na Ushuhuda wa Mtoto wa Zamani. Pia utajifunza kuhusu urafiki wa Daudi na Yonathani, utaimba wimbo mzuri unaokuhimiza kutafuta daima utakatifu. Kisha pamoja tutatafuta na kugundua mistari ya Biblia inayotufundisha kuishi katika kweli na kuacha kabisa uongo.

Read More

Riziki 2/2026 - Mavuno ni mengi Watenda kazi wachache

“Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache” (Mt 9:37). Toleo hili la RIZIKI linakukaribisha kutafakari wito wa Yesu kwa kila muumini kushiriki katika shamba la Bwana. Usisubiri wengine, bali jiandae na ujitolee kuonesha upendo wa Kristo kwa vitendo. Karibu usome!

Soma kupitia HAPA

Read More

Riziki 1/2026 - Kuzeeka kwa heshima

Kila mwanadamu amepewa zawadi ya maisha, lakini si wote hujiandaa kwa safari ya uzee. Biblia inafundisha: “Mkumbuke Muumba wako siku za ujana” (Mhu 12:1). Toleo hili la RIZIKI linakukaribisha kutafakari kuzeeka kwa heshima, hekima na urithi wa kiroho. Karibu usome na ujifunze zaidi!

Unaweza kusoma bure kupitia HAPA

Read More
Twende, Watoto, VIJANA Cathbert Msemo Twende, Watoto, VIJANA Cathbert Msemo

Twende 1/2026 - Mungu hawezi kuniacha

Toleo hili la Twende linakukaribisha kusoma na kutafakari zaidi juu ya upendo wa Mungu. Mungu hawezi kutuacha. Hatuachi gizani, anatupa tumaini jipya na furaha kila wakati. Karibu tusome pamoja, ujifunze kupitia makala, vibonzo na michezo, ukumbuke maisha ni salama kwa sababu Mungu hatuachi kamwe.

Nunua dukani Soma Biblia 1000 tu.

Read More
Magazeti, Twende, Watoto na Vijana Cathbert Msemo Magazeti, Twende, Watoto na Vijana Cathbert Msemo

Twende toleo la 1/2025 - 'Linapatikana'

Nikukaribishe kusoma toleo hili kuhusu Nuru ya Ulimwengu. Makala zote zinafafanua vizuri jambo hili. Usisahau michezo pamoja na katuni. Pia katika Sala ya Vijana utajifunza jinsi unavyoweza kuwa kielelezo kwa wengine ili nao wavutwe kumfuata Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao. Karibu tusome! Nunua dukani Soma Biblia kwa Shilingi 500 tu.

Bonyeza link kununua dukani Soma Biblia Dar es Salaam, Mbezi Luis, Arusha, Mbeya, Iringa, Mwanza

Read More
Twende, Watoto, Watoto na Vijana, Magazeti Cathbert Msemo Twende, Watoto, Watoto na Vijana, Magazeti Cathbert Msemo

Twende toleo la 4/2024 'linapatikana'

Ni sawa kabisa kuyaita majengo yetu makubwa na mazuri kanisa. Maana yake ni mahali pa kuabudia. Katika toleo hili tutaagalia maana nyingine ya Kanisa, herufi K ikiwa kubwa. Kanisa hili si jengo bali ni sisi tunaomwamini Yesu Kristo. Ndiyo maana tunasema, "Sisi ni Kanisa la Mungu".

Bonyeza link kununua dukani Soma Biblia Dar es Salaam, Mbezi Luis, Arusha, Mbeya, Iringa, Mwanza

Read More
Magazeti, RIZIKI, Zana za kusoma Biblia, Mahubiri Cathbert Msemo Magazeti, RIZIKI, Zana za kusoma Biblia, Mahubiri Cathbert Msemo

RIZIKI toleo la 4/2024 'linapatikana'

Mada kuu katika toleo hili la nne la Riziki 2024 inasema, Katika bonde bado Mungu yupo? Ni swali ambalo ni muhimu kutafakari ili tuwatie moyo wale ambao wanapita katika hali ngumu na kukata tamaa. Ni msaada kwa wale ambao wanapita na watakaopita katika bonde la uvuli wa mauti na kuogopa kuwa hakuna tumaini tena kwa maisha ya mbele.

Read More