Vitabu kuhusu ufafanuzi wa Biblia

  • Close-up of a red-and-white Somali Bible titled “Muunagoso mdogo wa Biblia,” with an open page of Somali text.

    (14024) Mwongozo Mdogo wa Biblia

    Mwongozo huu mdogo wa Biblia, unakuwezesha kwa haraka kujua mada tofauti tofauti za Biblia na mahali zinapopatikana ndani ya Biblia.

    Mwandishi: Jorgen Sejergaard

  • Swahili Bible cover titled “Sta​pungukiwa na kitu,” featuring a lush forest path and red typography.

    (14027) Sitapungukiwa na Kitu

    Uchambuzi huu mzuri wa zaburi ya 23, utakupa kujua kuwa Bwana Yesu ni mchungaji katika maisha yako.

    Mwandishi: Fredrik Wisloeff

  • Swahili Bible study booklet cover titled “Mpangilio wa Injili ya Marko,” featuring a red cross and six illustrations depicting Jesus’ ministry.

    (14408) Mpangilio wa injili ya Marko

    Kwa kutumia njia nyingine ya kuelewa Injili ya marko, kitabu hiki kitakusaidia kuabudu na kumuona Yesu akipita kwenye maisha yako.

    Mwandishi: Andrew Page

  • Colorful children's book cover titled “Wakristo Tuwe Macho,” featuring illustrated oranges, a sliced orange with Swahili labels, and author Fidion Mwombeki.

    (11022) Wakristo Tuwe Macho

    Kitabu hiki kinaeleza juu ya matunda ya Roho, kama yalivyo orodheshwa katika wagalatia 5:22-23.

    Mwandishi: Fidon R. Mwombeki

  • Cover of the Siku Zakanza la Ulmwengu Bible, volumes 1–3, by Seth Erlandsson.

    (14037) Siku za Kwanza za Ulimwengu

    Kitabu hiki kinaeleza kwa makini ujumbe uliokusudiwa katika sura tatu za kwanza za Biblia ili wasomaji waelewe ujumbe wa Mungu na kupata majibu sahihi ya maswali yao na maelezo mengine muhimu.

    Mwandishi: Seth Erlandsson

  • Book cover titled “Esther Onstad,” featuring dramatic blue storm clouds over an orange sunset landscape.

    (11019) Ujasiri wa leo - Tumaini la Kesho

    Haya ni mafunzo ya Biblia juu ya ufunuo. Kwa vitendo pamoja na maswali mengi ya kuwasaidia wasomaji.

    Mwandishi: Esther Onstad

  • Book cover for “Trujfunze Agano Tipya” by Olav Ug̲lem, featuring an open annotated Bible and a cross in the background.

    (11016) Tujifunze Agano Jipya

    Pata maelezo kuhusu mwandishi, wasomaji, makusudi na upekee wa kila andiko katika Agano Jipya, pamoja na historia na kanuni yake.

    Mwandishi: Olav Uglem