Biblia kwa Watoto Wadogo

Bila shaka watoto wataifurahia biblia hii, ukiwasomea. Ina hadithi 20 za kweli kuhusu Mungu na upendo wake kwetu. Lugha yake ni nyepesi, na michoro yake mizuri itawasaidia hata watoto wadogo kuzielewa habari. Kitabu kina lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza, na kina mkono ili mtoto mdogo aweze kukibeba na kutembea nacho. 

Biblia kwa watoto wadogo.png

Mwandishi/Author: Charlotte Thoroe

Toleo la 1/First edition: 2018

Kurasa/Pages: 40

Ukubwa/Size: 16 x 20 cm

ISBN: 9789 987 639 50 2

Code:14506

Previous
Previous

Mia kwa Mia

Next
Next

VITABU VYA WATOTO/Childrens books