Pamoja na Yesu 1-4

Pamoja na Yesu ni mfululizo wa vitabu kwa watoto wa miaka 7-14, ambavyo vinafundisha Injili ya Biblia kwa namna rahisi.
Pamoja na Yesu is a series of books for children 7-14 years, that teaches the gospel of the Bible in a simple way.

Mwandishi/Authors: Berit Lund Larsen, Wilhelm Munch

Mchoraji/Drawings: Steven D. Kipili

Kurasa/Pages: 44

Ukubwa/Size: 15 x 21 cm

Orodha ya bei/Pricelist

Kitabu cha 1

Kinasimulia kuhusu wana wa Israeli walivyotoka utumwani Misri na kuingia Kana’ani, Yesu mtoto, na tunavyoingia mbinguni.

CODE: 14001

ISBN: 9987-639-04-6

 

Kitabu cha 3

Kutana na Mfalme Daudi na maisha yake, na jifunza jinsi tunavyopata kupendeza kwa Mungu.

CODE: 14003

ISBN: 9987-639-10-0

Kitabu cha 2

Jifunza jinsi Mungu anavyookoa kwa njia ya habari za Nuhu, Danieli na Yesu wakati wa Pasaka.

CODE: 14002

ISBN: 9987-639-06-2

 

Kitabu cha 4

Habari zinazotia moyo kuhusu watu mbalimbali, watoto kwa watu wazima, walivyomtegemea Yesu na kusaidiwa naye.

CODE: 14004

ISBN: 9987-639-15-1

Previous
Previous

Krismasi ya Kwanza

Next
Next

Biblia ya Kubeba Popote