Neno la Leo

Ni kitabu cha kubeba popote na kutumika mwaka mzima. Kila siku kuna mistari minne ya Biblia inayotoa mwanga kwenye njia ya imani na kukuwezesha kuishi maisha ya Kikristo. Hata kuna mpango wa kusoma vitabu vyote vya Biblia ndani ya mwaka mmoja. Usikose kitabu hiki, maana Biblia ni taa ya miguu yako.

Neno la leo cover .jpg

Mwandishi/Author: Jon Jøssang (mpangaji)

Toleo la /edition: 2019

Kurasa/Pages: 200

Ukubwa/Size: 9 x 12 cm

ISBN: 978 9987 639 55 7

Code: 11014

Next
Next

UINJILISTI/Evangelistic literature