Neno la leo
Cathbert Msemo
 Zana ya kusoma Biblia kila siku 2020 
 Biblia ni taa ya miguu yake aishiye na Mungu. Soma Biblia tuna zana nzuri za kusoma Neno la Mungu kila siku.  Neno la Leo ni kitabu  cha kubeba popote. Mistari 4 ya Biblia inatoa mwanga kila siku.
Karibu kununua nakala yako mapema katika maduka yetu ya Soma Biblia ili usichelewe kuanza mpango wa kusoma Biblia mwaka 2020.
Bonyeza link upate taarifa ya namna ya kufika dukani kwetu Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Mwanza au Iringa
 
                  