Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

TWENDE TOLEO LA 4/2019 Linapatikana

Habari kutoka Soma Biblia

TWENDE TOLEO LA 4/2019 Linapatikana

Cathbert Msemo

 Maisha yangu ya baadaye

 Siku moja baba yangu aliniuliza swali, "Rehema, ukiwa mkubwa unataka kuwa kama nani?" Nilijibu kwa haraka, "Nataka kuwa daktari." Baba akauliza kwa nini, nikasema kwa sababu nataka kuwasaidia wengine wenye shida na magonjwa. 

Basi Baba yangu akanifundisha kwamba nikitaka kuwa daktari lazima nisome kwa bidii na kumtegemea Mungu. Aliniambia malengo yangu ni mazuri na yatanifaa kwa maisha ya baadaye. 

Tulipoendelea kuzungumza aliniuliza tena, "Unajua kuna maisha mengine baada ya maisha ya hapa duniani?" Nilijibu hapana. Baba akaniambia kuhusu habari za uzima wa milele na kuishi na Yesu Mwana wa Mungu milele. Tena akaniambia kwamba nikimtegemea Yesu, yeye mwenyewe atanisaidia kuurithi uzima wa milele. 

Mtoto mwenzangu, toleo hili lina habari njema kuhusu maisha yetu ya sasa na ya baadaye. Tutambue kwamba tukiwa ndani ya Yesu tutakuwa salama sasa na siku zijazo, na hata tukifa tutaenda kuishi na Yesu kwa furaha mbinguni. 

Twende ni kwa ajili ya Watoto na Vijana na linauzwa kwa bei poa ya Shilingi mia tano tu. Karibu dukani kwetu ujipatie nakala yako.

Twende inapatikana kwenye duka la Soma Biblia Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Mwanza na Iringa.

Karibu usome!