Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

RIZIKI TOLEO LA 2, 2019 - 'UMISIONI WA NDANI'

Habari kutoka Soma Biblia

RIZIKI TOLEO LA 2, 2019 - 'UMISIONI WA NDANI'

Cathbert Msemo

TUNAKWENDA!

Kama Kanisa na mwili wa Kristo, tumeitwa kuhubiri habari njema ya toba na ondoleo la dhambi kwa wale waliopotea. Kwa bahati mbaya sana, kwa sehemu kubwa Kanisa limeacha kwenda kuwatafuta kondoo waliopotea na kuwarudisha zizini. Limebaki na injili ya kanisani tu inayojishughulisha na kuhamisha kondoo toka zizi moja, kwenda zizi lingine. 

Katika toleo hili la Riziki tunajadili kuhusu umisioni wa ndani. Lengo ni kukumbusha juu ya Utume mkuu wa Bwana Yesu wa kwenda kuhubiri habari njema ya toba na ondoleo la dhambi kwa wale ambao hawajafikiwa na injili. 

Soma Riziki Online hapa