Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Karibu Mkurugenzi mpya wa Soma Biblia

Habari kutoka Soma Biblia

Karibu Mkurugenzi mpya wa Soma Biblia

Cathbert Msemo

Mchungaji Bent Houmaa Jørgensen

na Bi. Vivi Agerbo Jørgensen

Sisi wa Soma Biblia tuna furaha ya kumkaribisha mkurugenzi mpya wa shirika letu, Mchungaji Bent Houmaa Jørgensen kutoka Denmark. Mchg. Bent aliingia kazini rasmi siku ya Ijumaa tarehe 7, mwezi huu wa pili. Alipokea kazi hiyo kutoka kwa mkurugenzi aliyemaliza muda wake, Ole Malmgaard. 

Tuna furaha pia kumkaribisha Bi. Vivi Agerbo Jørgensen, mke wa mkurugenzi wetu mpya, ambaye atahudumu na Soma Biblia kama mkufunzi. 

Mchungaji Bent Houmaa Jørgensen na mke wake, Vivi, waliishi hapa Tanzania miaka mingi iliyopita. Wanaweza kuongea Kiswahili kama waswahili kabisa, na wanakumbuka baadhi ya tamaduni za Watanzania. Wanajisikia nyumbani kabisa kurudi tena na kuishi hapa wakifanya kazi ya kumtumikia Kristo ndani ya shirika la Soma Biblia.

Karibuni sana Tanzania,

Karibuni Soma Biblia.

 

Mchungaji Bent Houmaa Jørgensen

Mchungaji Bent Houmaa Jørgensen

Bi. Vivi Agerbo Jørgensen

Bi. Vivi Agerbo Jørgensen