Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

Riziki toleo la 4, 2018 - "Namwamini Roho Mtakatifu"

Habari kutoka Soma Biblia

Riziki toleo la 4, 2018 - "Namwamini Roho Mtakatifu"

Cathbert Msemo

Aweza kukubadilisha

Katika toleo hili la RIZIKI tunaangalia sehemu ya tatu ya Imani ya Mitume inayoanza kwa kusema, Namwamini Roho Mtakatifu. Tunapokiri sehemu hii tunaamini na kutangaza kuwa, Roho Mtakatifu ni Mungu wa kweli aliye hai tena halisi. Tunakiri na kuamini kwamba, Roho Mtakatifu ndiye anayeunganisha wale wanaomwamini Kristo, na kuwafanya kuwa viungo vya mwili wake na Kanisa moja, hata katika tofauti zetu na utendaji wetu kama wanadamu. Soma kwa mfano kulitokea nini katika maisha ya mtu ambaye alimpenda sana Yesu, lakini majaribu yalipomjia alimkana waziwazi! Tunaamini yaliyomo katika toleo hili yataimarisha imani yako katika kumwamini Roho Mtakatifu.


Karibu kusoma RIZIKI online hapa