Twende toleo la 2/2025
Cathbert Msemo
Ni furaha kuwaletea toleo hili la pili kwa mwaka 2025. Kwa lugha rahisi kabisa ndani ya toleo hili tutajifunza
zaidi juu ya kumtumikia Mungu. Mtu mmoja
alisema; "Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu".
Je, wewe utamtumikia nani?
Karibu kununua katika maduka ya Soma Biblia.