KALENDA MKONONI 2019/DAILY DEVOTIONAL 2019
Editor Soma Biblia
Calender for reading the Bible every day:
- Space to write notes. 
- Biblereading plan for everyday with a daily devotion to go with the reading. 
- The pocket-sized booklet makes it easy to carry along wherever you may go; work, school or travel. 
Price: 2500 Tsh
The Soma Biblia Kalenda 2019 is available in all Soma Biblia Bookshops:
Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa and Mwanza.
Kalenda hii inakupa:
- Nafasi ya kuandika kumbukumbu zako kila siku. 
- Mpango wa kusoma sehemu ya Biblia kila siku pamoja na maelezo juu ya somo hilo. 
- Uwezekano wa kuibeba popote; kazini, shambani, shuleni na hata ukisafiri. 
Bei: 2500 Tsh tu
Soma Biblia Kalenda 2019 inapatikana katika kila tawi la Soma Biblia:
Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa na Mwanza.
 
                  