KALENDA YA UKUTANI 2018/WALL CALENDAR 2018

Kalenda ya ukutani siyo ya kukosa!

Kalenda ya ukutani 2018 inapatikana. Ina picha nzuri kutoka huduma za Soma Biblia, na zote zinalandana na mstari kutoka kwenye Biblia

Bei: 1500 Tsh tu

Soma Biblia Kalenda 2018 inapatikana katika kila tawi la Soma Biblia: Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa na Mwanza

Ukitaka kuagiza kupata kwa njia ya posta bofya hapa.

A wall calendar is a bare necessity!

The Soma Biblia Wall calendar is now available. It has beautiful pictures from Soma Biblia's work all over Tanzania, and encouraging Bible verses to follow. 

Price: 1500 Tsh

The calendar can be bought in all our bookshops: Dar es SalaamArushaMbeyaIringa na Mwanza

If you want to order for delivery, go here.

Previous
Previous

KALENDA MKONONI 2018/DAILY DEVOTIONAL CALENDAR 2018

Next
Next

KALENDA YA UKUTANI 2017/WALL CALENDER 2017