Soma Biblia Kalenda 2016

Kalenda ya mwaka ikiwa na maelezo mafupi, mahubiri ya kila siku yaliyounganishwa na vifungu vya Biblia.

Soma Biblia Kalenda inatoka kila mwaka tangu 2000.

Kalenda inajumuisha

  • Kalenda ya 2016 na 2017 katika ukurasa wa mbele wa jalada
  • Mapitio wakati wa mapumziko hapa Tanzania 2015
  • Kurasa 12 kwa kila mwezi kwaajili ya wewe kunakili
  • kusoma kufuatana na sikukuu za Kikristo

Code: 14413 

Bei/Price: 2000 Tsh

A yearly calendar with a brief, daily devotion connected to a passage from the Bible.

The Soma Biblia Kalenda has come out every years since 2000.
The calender contains

  • a calender for 2016 and 2017 on the inside cover
  • Survey for holidays in Tanzania 2015
  • 12 pages of each one month for your notes
  • Readings according to the Christian Holidays

Code: 14413

Bei/Price: 2000 Tsh

Soma Biblia Kalenda 2016.jpg
Previous
Previous

Kalenda ya Ukutani 2016/Wall calender 2016