Kalenda, Daily devotion Anne Gihlemoen Kalenda, Daily devotion Anne Gihlemoen

KALENDA MKONONI 2018/DAILY DEVOTIONAL CALENDAR 2018

Mpango wa kusoma sehemu ya Biblia kila siku pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Zawadi nzuri kwa Krismasi!

Kalenda hii inakupa:

  • Nafasi ya kuandika kumbukumbu zako kila siku.

  • Mpango wa kusoma sehemu ya Biblia kila siku pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

  • Uwezekano wa kuibeba popote; kazini, shambani, shuleni na hata ukisafiri.

Bei: 2000 Tsh tu

Soma Biblia Kalenda 2018 inapatikana katika kila tawi la Soma Biblia:

Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Iringa na Mwanza.

Ukitaka kuagiza kupata kwa njia ya posta Bofya hapa.

The perfect Christmas gift!

Calender for reading the Bible every day:

  • Space to write notes.

  • Biblereading plan for everyday with a daily devotion to go with the reading.

  • The pocket-sized booklet makes it easy to carry along wherever you may go; work, school or travel.

Price: 2000 Tsh

The Soma Biblia Kalenda 2018 is available in all Soma Biblia Bookshops:

Dar es SalaamArushaMbeyaIringa and Mwanza.

If you want to order for delivery, enter here.

Read More