TWENDE Toleo la pili

Katika toleo hili la TWENDE, tumekuletea ujumbe muhimu kuhusu furaha. Biblia inasema furahini katika Bwana siku zote; tena nasema, furahini. Utaona picha za kuvutia za watoto walioonyesha furaha baada ya kujua Mungu ni pendo. Lakini pia michezo, mashindano na Tunu na Tuzo wana simulizi ya furaha juu ya mwana mpotevu aliyerudi kwa Babaye.

Twende inapatikana kwenye duka la Soma Biblia Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Mwanza na Iringa.

Previous
Previous

SOMABIBLIA SEMINA 2016

Next
Next

RIZIKI Toleo la pili