Soma Biblia kila siku 2020

Zana ya kusoma Biblia kila siku 2020

SBcover2020.jpg

Biblia ni taa ya miguu yake aishiye na Mungu. Soma Biblia tuna zana nzuri za kusoma Neno la Mungu kila siku. Soma Biblia kila siku 2020 ni Kalenda kamili na ufafanuzi kila siku kwa somo la Biblia 

Karibu kununua nakala yako mapema katika maduka yetu ya Soma Biblia ili usichelewe kuanza mpango wa kusoma Biblia mwaka 2020.

Bonyeza link upate taarifa ya namna ya kufika dukani kwetu Dar es Salaam, Arusha, Mbeya, Mwanza au Iringa

Previous
Previous

Neno la leo

Next
Next

TWENDE toleo la 3, 2019 linapatikana