Twende toleo la 3/2020 linapatikana

Mungu anatutunza

Katika toleo hili tumefafanua zaidi jinsi Mungu anavyotutunza. Waefeso 1:3 inasema, “Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo”. Habari ya kwamba Mungu anatubariki namna hiyo inatutia moyo na kutuvuta kwake kila wakati. 

Ndani ya gazeti hili kuna hadithi na simulizi nzuri zinazofafanua namna Mungu kwa upendo wake anavyotutunza. Utakutana na Dada Rehema na wenzake katika vibonzo na michezo ya kuvutia. Usisahau kujibu vizuri maswali na kututumia kama ilivyoelekezwa kwenye uk. 5 na nyuma ya gazeti.

Karibu usome. 

Previous
Previous

RIZIKI TOLEO LA 3/2020 'SALA YA BWANA - Bwana, utufundishe kuomba'

Next
Next

Twende toleo la 2/2020 linapatikana