podcast, Michezo ya redio Cathbert Msemo podcast, Michezo ya redio Cathbert Msemo

7. Agano 5

Ibrahimu anapatwa na majaribu makubwa.

Urithi wa Adamu - Agano 5
Hammerson Luhanga na Roger Gihlemoen

Abrahamu aliumia sana kumfukuza Ishmaeli,kwani alimpenda kama mtoto wake na alimfurahia. Pia Ilikuwa aibu kubwa kumfukuza. Abrahamu hakujua kama muda si mrefu kuna kitu kingetokea na kwamba angejaribiwa zaidi kuliko alivyokuwa akihofia. Ni kuhusu Isaka ambaye ndiye aliyebakia baada ya Ishmaieli kuondoka. Sikiliza vizuri ujifunze kupitia kipindi hiki.

Agano_Radio_07.jpg



Read More