Michezo ya redio, podcast Editor Soma Biblia Michezo ya redio, podcast Editor Soma Biblia

1. Anguko la dhambi 1

URITHI WA ADAMU ni mfululizo wa hadithi kutoka kitabu cha Biblia Takatifu. Katika sehemu ya kwanza tukiwasimulia mwanzo wa uummbaji wa ulimwengu, mwanadamu alivyoishi katika bustani ya Eden kwa furaha ya mahusiano yake na Mungu. Mmojawapo wa Malaika wa mbinguni, Shetani, alitaka kuchukua nafasi ya Mungu. Lakini hakuweza. Akafurushwa na kutupwa duniani kutoka mbinguni pamoja na wote waliomuunga mkono.

Urithi wa Adamu - Anguko la Dhambi 1
Hammerson Luhanga and Roger Gihlemoen

URITHI WA ADAMU ni mfululizo wa hadithi kutoka kitabu cha Biblia Takatifu. Katika sehemu ya kwanza tukiwasimulia mwanzo wa uummbaji wa ulimwengu, mwanadamu alivyoishi katika bustani ya Eden kwa furaha ya mahusiano yake na Mungu. Mmojawapo wa Malaika wa mbinguni, Shetani, alitaka kuchukua nafasi ya Mungu. Lakini hakuweza. Akafurushwa na kutupwa duniani kutoka mbinguni pamoja na wote waliomuunga mkono.

AngukoLaDhambi_Radio_01.jpg
Read More