Vitabu kuhusu ufafanuzi wa Biblia

  • (14024) Mwongozo Mdogo wa Biblia

    Mwongozo huu mdogo wa Biblia, unakuwezesha kwa haraka kujua mada tofauti tofauti za Biblia na mahali zinapopatikana ndani ya Biblia.

    Mwandishi: Jorgen Sejergaard

  • (14027) Sitapungukiwa na Kitu

    Uchambuzi huu mzuri wa zaburi ya 23, utakupa kujua kuwa Bwana Yesu ni mchungaji katika maisha yako.

    Mwandishi: Fredrik Wisloeff

  • (14408) Mpangilio wa injili ya Marko

    Kwa kutumia njia nyingine ya kuelewa Injili ya marko, kitabu hiki kitakusaidia kuabudu na kumuona Yesu akipita kwenye maisha yako.

    Mwandishi: Andrew Page

  • (11022) Wakristo Tuwe Macho

    Kitabu hiki kinaeleza juu ya matunda ya Roho, kama yalivyo orodheshwa katika wagalatia 5:22-23.

    Mwandishi: Fidon R. Mwombeki

  • (14037) Siku za Kwanza za Ulimwengu

    Kitabu hiki kinaeleza kwa makini ujumbe uliokusudiwa katika sura tatu za kwanza za Biblia ili wasomaji waelewe ujumbe wa Mungu na kupata majibu sahihi ya maswali yao na maelezo mengine muhimu.

    Mwandishi: Seth Erlandsson

  • (11019) Ujasiri wa leo - Tumaini la Kesho

    Haya ni mafunzo ya Biblia juu ya ufunuo. Kwa vitendo pamoja na maswali mengi ya kuwasaidia wasomaji.

    Mwandishi: Esther Onstad

  • (11016) Tujifunze Agano Jipya

    Pata maelezo kuhusu mwandishi, wasomaji, makusudi na upekee wa kila andiko katika Agano Jipya, pamoja na historia na kanuni yake.

    Mwandishi: Olav Uglem