Maisha Mazuri kwa Watoto

Hutoa msaada thabiti kwa sisi sote tunaowalea watoto. Upendo pasipo mashartini mbinu ya msingi, lakini pia kukaa pamoja kunakojenganidhamuna mbinu nyinginezo zinafafanuliwa kwa makini. Kila atakaye kuwapa watoto wake maisha yaliyo na maendeleo yenye afya, yampasa akisome.

maisha mazuri kwa watoto.jpg

Mwandishi/Author: Anne-Lene Olofson (ed.)

Toleo la 1/First edition: 2020

Kurasa/Pages: 220

Ukubwa/Size: 14.8 x 21 cm

ISBN: 978 9987 639 57 1

Code: 14105

Next
Next

Msingi wa Imani