Ana kwa Ana na Bwana Yesu
Bartimayo na Zakayo walipata maisha mapya walipokutana na Yesu ana kwa ana. Yawezekana leo pia. Kitabu kizuri cha uinjilisti!
Maneno “badala ya” ni ‘ufunguo’ wa kufahamu maana halisi ya Injili. Ni kiini cha mpango wa wokovu wa Mungu na habari njema kwetu.