Ufundi wa Kuamua Ugomvi katika Ndoa
Kwa nini ugomvi hutokea katika ndoa? Mwandishi anabainisha sababu na kutoa mashauri mazuri yenye uwezo wa kuifanya ndoa kuwa imara.
Ndiye Amani Yetu
Je, unafahamu maana yake na kuiona katika maisha yako, kwamba Yesu ndiye amani yako? Masomo 25 yanayokusaidia kuiona.