Contact Us

Use the form on the right to contact us.

Or use the information below to contact our main office in Dar es Salaam or Arusha.

Main office:

P.o. box 12772 Dar Es Salaam, Tanzania

Phone: +255 786 197 412

E-mail: salesmanager.somabiblia@gmail.com

Publishing department

Postal address: P.o. Box 2696 Arusha, Tanzania

Phone: + 255 787392951

E-mail: publishing.somabiblia@gmail.com

         

123 Street Avenue, City Town, 99999

(123) 555-6789

email@address.com

 

You can set your address, phone number, email and site description in the settings tab.
Link to read me page with more information.

TWENDE TOLEO LA 1, 2019 Linapatikana

Habari kutoka Soma Biblia

TWENDE TOLEO LA 1, 2019 Linapatikana

Cathbert Msemo

 Siku moja nilisafiri kutoka Iringa kwenda Arusha. Wakati fulani tairi la nyuma lilipasuka, na gari likaanza kuyumba kama linataka kuanguka. Wengi tuliogopa sana, kwa sababu pembeni kwa barabara kulikuwa na bonde la mto mkubwa unaoitwa Ruaha. 

Wakati sisi tunapiga kelele za woga, nilisikia mama mmoja aliyeketi nyuma yangu akiita kwa nguvu, “Eeh Yesu, tusaidie!” Kisha akaendelea na kuomba. 

Gari likaenda kwa mwendo mkali kwa muda, lakini hatimaye dereva akafaulu kulidhibiti na kulisimamisha. Tukashuka sote salama. Tairi likabadilishwa na tukaendelea na safari. Lakini safari ilichukua siku mbili badala ya moja. 

Tukio hili lilinifundisha juu ya kumtegemea Mungu na kumwendea kwa njia ya maombi. Yesu anaweza kutuokoa katika jambo lolote tunalokutana nalo hapa duniani. Na ni Yesu peke yake awezaye kutufikisha mbinguni. 

Karibu usome gazeti hili linalofafanua kuhusu safari yetu ya kwenda mbinguni.